Mahakama ya Rufaa,
inatarajia kutoa uamuzi juu ya marejeo ya hukumu ya kifungo cha Maisha
iliyotolewa na mahakama hiyo febuary 2010, kwa wanamuzi wawili kati ya babu
seya na mwanae Papi Kocha.
Uamuzi huo wa mahakama ya Rufaa, unatarsajiwa kutolewa
leo kufuatia ombi liliotolewa na Mzee Nguza, na mwanae kwa madai kuwa hukumu
hiyo ilikuwa na dosari na hivyo kuiomba mahakama kuwaachia huru.
0 maoni:
Post a Comment