Msanii namba moja kwasasa nchini Tanzania
Diamond Platnumz, yupo nchini Nigeria, kwaajili ya Kufanya Video ya Rmx ya My
Number 1 na Davido, sambamba na wimbo wake mpya aliomshirikisha msanii mwengine
wa Nigeria
Iyanya.
Diamond alisema kuwa kitu kikubwa siyo kufanya Kolabo
tu, bali na kuweka mausiano mazuri na wasanii hao wa Nigeria ndio maana ameamua
kuzifanya video zake zote huko huko.
0 maoni:
Post a Comment