Matashtiti Fundikira |
Mtangazaji wa Kituo cha Passion Fm, wa
kipindi cha Ambaa na Mwambao, Nyawana “ Matashtiti Fundikira” amefariki dunia,
inadaiwa kuwa Mtangazaji huyo amefariki dunia kufuatia ugonjwa wa Malaria.
Mtangazaji huyo alikuwa pia muimbaji wa Taarabu katika
kundi la T-moto na kundi la Kings Modern Taarabu, pia alishawai kuwa mtangazaji
wa Voice of Tabora.
Kwa mujibu wa mume wake mipango ya mazishi inaendelea
huko nyumbani kwake mwananyamala, jijini DSM.
0 maoni:
Post a Comment