Diamond, amepost picha ya Video yake mpya
na kuandika maneno ya kutia moyo katika Muziki wa Tanzania,
Dimond inawezekana kuwa ndiye msanii wa kwanza kufanya video na Director mkubwa
wa Nigeria
ambaye amefanya Video nyingi za wasanii wakubwa wa Afrika.
Diamond na Davido katika RMX ya Number 1 |
0 maoni:
Post a Comment