JOH MAKINI |
Msanii wa Hip Hop, nchini Tanzania , Joh
Makini, amesema kuwa hapendi kuona watu wanaodandia mziki wa Hip Hop wakati
haweana vipaji vya muziki, ameyaema hayo alipofanyinyiwa mahojiano na TimesFm.
Amesema kua yeye kama msanii wa Tnzania hana tatizo na
jina la Bongo Fleva, kwa kuwa ni kitu kizuri na likisimamiwa linaweza kuwa ni
kitamburisho cha muziki wa Tanzania , lakini kikwazo kipo kwa wasanii
wanaodandia muziki huo.
Aliendelea kwa
kusema kuwa muziki huo umekuwa kama Bus, kila mtu anaweza kudandia, ata kama hana kipaji cha muziki.
0 maoni:
Post a Comment