Serikali kupia Waziri mkuu imetoa tamko
la kuwa Licha ya mvutano katio yake na baadhi ya nchi za Afrika mashariki
lakini haijafikia dhamira ya kutaka kujitoa katika jumuhia hiyo ya Afrika
mashariki badala yake wanataka kutatua tofauti zao kwa njia ya kidipromasia kwa
lengo la kudumisha uhusiano uliopo.
Waziri mkuu alisema leo Bungeni kuwa , umoja huo
unatakiwa kuwa wenye tija kwa wananchi wan chi wanachama na si kwa upande mmoja
au nchi moja. Hayo yalikuwa maneno ya waziri mkuu.
0 maoni:
Post a Comment