JB |
Fans wa Justin Bieber , wamezua balaa
nchini Argentina
na kupelekea mwimbaji huyo kufukuzwa katika Hoteli aliyofikia msanii.
Hii ni kutokana na mashabiki wengi kufurika nje ya
Hotel hiyo ya Hotel Faena, ili waweze kumuona msanii huyo, kitu kilichopelekea
kufukuzwa ni Fans hao kuanza kufanya uharibifu wa mali katika Hoteli hiyo.
inasemekana
kuwa Hotel nyingi zimekataa Ofa ya msanii huyo kufikia katika Hoteli zao ili
waepushe yasije kutokea yaliyoikuta hotel ya kwanza nchini humo.
Justin B,
aliandika ujumbe huu katika kurasa yake ya Twitter “ To all my fans at the
Hotel. Thank u. I love u. but please calm down and respect the police. We don’t
want anyone getting hurt” hayo yalikuwa maneno ya JB.
0 maoni:
Post a Comment