Inaaminika kuwa watu 10,000 wamepoteza
maisha kufuatia kimbunga kilichozikumba nchi ya Vietnam
na Ufilipino na wengine wakiwa wamejeruhiwa vibaya sana.
Wengi wao wamekufa kutokana na kuzidiwa nguvu na maji
sambamba na kuangukiwa na majengo, pia kimbunga hicho kimewafika watu zaidi ya
milioni 4.
|
Hali Halisi |
Majengo yakizama katika maji |
Kijana wa Kivietnam akiwa juu ya mabaki |
Majengo yakiwa katika hali mbaya sana. |
picha ikionesha mji ulivyokuwa mara baada ya kimbunga kutokea. |
vijana wakiwa nje ya jengo Bovu |
0 maoni:
Post a Comment