MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

DAVIDO, AMJAZA MIMBA MTOTO WA KIJAMAICA.



  Mrembo wa Uingereza adai kuwa na ujauzito wa Davido na anatarajia mapacha
Mkali wa Skelewu, Davido, inadaiwa kuwa amemjaza mimba mtoto wa Kijamaica, aishiaye nchini Uingereza, na mdada huyo anatarajia watoto mapacha.........


Kwa mujibu wa Naijaxclusive mrembo huyo ambaye anatokea Caribbean mwenye asili ya Jamaica pia amedai kuwa Davido alimpa ujauzito huo mwaka jana (2013) wakati alipokuwa kwenye ziara yake nchini Uingereza
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment