Msanii Mdogo mwenye
mafanikio makubwa Justin Bieber, ametajwa kuwa ni miongoni mwa wasanii
waliokuwa kwenye hatari kubwa ya kiafya mara baada ya kujiingiza kwenye
matumizi ya madawa ya kulevya aina ya Codeine, Promethazine, Jolly Rancher na
soda aina ya Sprite, mchanganyikom huo unatengeneza kitu kiitwacho “ SIZZURP” .
Hata hivyo ripoti zilizotelewa na chanzo hicho zinadai
kuwa Bieber amekuwa akitumia Sizzurp mara kwa mara lakini kwa tahadhari kubwa.
Mwimbaji huyo mwenye umri wa miaka 19, ameripotiwa
kuwa huwa anatumia pia vidonge kama Xanax na kujipigilia pombe na marijuana,
lakini hajawahi kabisa kutumia cocaine.
0 maoni:
Post a Comment