MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

SHILOLE NAKUJA NA “CHUNA BUZI” HII NI NGOMA YANGU MPYA.



 Baada ya kukomaa na jiji la Dar, Shilole kuachia wimbo mpya
Msanii wa Muziki na Muigizaji wa Movie hapa nchini Shilole, yuko njiani kuachia ngoma yake mpya mwishoni mwa mwezi huu wa kwanza yani ni tarehe 31. wimbo huo utakwenda kwa jina la “Chuna Buzi.”


Ngoma hiyo imefanyika katika studio za  Mazuu Records, na kwa asilimia kubwa ni kwamba Video ya nyimbo hiyo itafanya na Nisher..
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment