MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

ALLY KIBA" WATU WANATUMIA SAUTI YANGU, LAKINI SIJATOA WIMBO MPYA.



 Ali Kiba aukana wimbo uliotoka kwa jina lake
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ally Kiba, amekanusha juu ya wimbo ulitoka hivi karibuni wenye jina la Rosa, na sauti ya msanii huyo, Kiba alisema kuwa haujui huo wimbo wala hajawai kuimba nyimbo kama hiyo...............


Ally Kiba, aliendelea kusema kuwa “Nyimbo zipo lakini sija release nyimbo, sijatoa nyimbo so far na sijui nani ameimba na sijawahi hata kuusikia.”

Pia alidai kuwa inawezekana kuwa kuna watu waliotumia sauti yake mara baada ya kuona kuwa yuko kimya kwa muda mrefu sasa kitu ambacho hakina mantiki, aliendelea kwa kusema kuwa inawezekana kuwa walifanya kwa makusudi au wametumia sayansi ya sauti na ku-fake sauti yake.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment