MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

KESI DHIDI YA VIGOGO WA SUDAN KUSINI YAENDELEA



 
Kesi dhidi ya viongozi wanne wa kisiasa nchini Sudan Kusini ambao wanakabiliwa na mashitaka ya uhaini imeingia siku yake ya pili hii............


Upande wa mashitaka umewataka viongozi saba walioachiliwa kwa dhamana Januari, ambao kwa sasa wako nchini Kenya pia wafunguliwa mashitaka.


Viongozi hao wanadaiwa kuwa walijaribu kuipindua serikali ya rais Salva Kiir Disemba mwaka uliopita.
 
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment