MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

DARASSA AWAOMBA RADHI WATANZANIA



 
Msanii wa Hip Hop nchini Tanzania Darasa, amefunguka na kusema kuwa ile film yake iliyotakiwa kutoka mapema imeshindikana kutokana na watu waliotaka kuipeleka sokoni kushindwa biashara.............


“baada ya kushindwa biashara na watu waliotaka kuipeleka sokoni, kuna watu ambao walishughulikia hiyo filam na makubaliano, wakaniambia , bwana una kitu kizuri zaidi cha kufanya na hiyo filam’ nafikiri walikuwa na mipango ya kuandaa event kubwa halfu hiyo filam izunduliwe  kutokana na vitu ambavyo walinielewesha ni vitu vizuri , mimi nikawaelewa nikaona niwaachie hilo swala na jukumu lote lipo mikoni mwao” hayo myalikua maneno ya Darasa.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment