Ghasia zaidi zimetokea Kaskazini Mashariki mwa Nigeria
ambapo watu 13 wameuawa...........
Mkaazi wa kijiji cha Jakana karibu na mji wa Maiduguri jimbo la Borno
amesema takriban watu 40 wameuawa katika shambulio lililofanywa na kundi la
Boko Haram JUmatatu usiku.
Kaskazini mwa Nigeria imeshuhudia mashambulio ya
kundi la Boko Haram licha ya operesheni ya jeshi inayoendelea.
Hapo Jumapili usiku watu 30 waliuawa katika shambulio
mji wa Mafa na watu wengine 90 waliuawa katika siku ya Jumamosi katika
shambulio la bomu mjini Maiduguri.
0 maoni:
Post a Comment