MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

YULE MSOMALI ALIYECHEZA MOVIE YA "CAPTIN PHILLIPS", ADAIWA KUCHACHA MBAYA MPAKA KUKOPA NGUO ZA KUVAA KWENYE TUZO ZA OSCAR


1
Mmoja kati ya waigizaji wakuu katika movie ya Captain Philips, kutoka Afrika nchini Somalia, Barkhad Abdi, inadaiwa kuwa ni mmoja kati ya watu waliocheza Movie yenye jina kubwa lakini yeye akibaki mfuko empty..............


Msanii huyo alilipwa kiasi cha dola 65,000. ambazo ni sawa na Tsh mil 100, lakini kwa sasa inadaiwa kuwa amebaki empty kabwela.

Kwa sasa inadaiwa kuwa mpaka nguo alizoziva katika tuzo za Oscar zilikuwa ni za mkopo, na kipindi chote alichokaa nchini Marekani kwaajili ya Tuzo hizo ni ile kampuni aliyofanya nayo kazi ndio ilimsaidia kukaa katika Hoteli Los Angeles.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment