MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

MTUMBWI ULIOZAMA MTWARA, WASABABISHA VIFO VYA WATU 3



 mtumbwi
Jeshi la polisi Mtwara, limetoa ripoti ya kuzama kwa Mtumbwi uliobeba watu 26, na kusababisha vifo vya watu watatu na wengine waliokua kwenye ajali hiyo wamefikishwa hospital kwa matatibabu zaidi...........


Taarifa zianasema kuwa mtumbwi huo ulikuwa ukifanya safari yake kutoka Ng’wela na kwenda ng’ambo ya pili, ambopo kabla yakufika kwenye kituo chao mtumbi huo ulizidiwa na upepo na mvua kali iliyosababisha kuzama kwa mtumbwi.

Jeshi la polisi bado linamtafuta Dereva wa Mtumbwi huo ambaye inasemekana aliogelea na kutoweka baada ya mtumbwi kuzama,Chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika ingawa baadhi ya abiria wanadai ni upepo mkali na mvua iliyokuwa inanyesha
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment