Msanii wa Muziki nchini Marekani, Chris Brown,
ametakiwa kwenda jela kwa muda wa mwezi mmoja kufuatia kufukuzwa rehab, siku ya
ijumaa, mara baada ya kufukuzwa rehab, Polisi walimdaka na kumfikisha
Mahakamani..........
Moja kati ya vitu vilivyomtoa Rehab ni kuvunja mipaka
aliyopewa kipindi chote cha kuwa rehab, aliambiwa asikae karibiane na wanawake
wote wa rehab hiyo yani wakae futi 6.
Pia msanii huyo alikataa kuchukuliwa vipimo vya madawa
ya kulevya, hizo ni sababu zilizomfanya kufukuzwa rehab, na kudakwa na polisi
kwa oda ya Mahakama sasa atatumikia ifungo cha mwezi mmoja hadi April 23.
0 maoni:
Post a Comment