MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

MBOTO, SITAKI MAPENZI YA BONGO MOVIE



 Mboto asema hawezi kuwa na uhusiano wa mapenzi na msanii wa Bongo Movie, "wengi wako kimaslahi"
Muigizaji wa filam za Tanzania, Mboto, amefunguka na kusema kuwa hawezi kujiingiza katika mausiano ya kimapenzi na msanii wowote wa Bongo Movies kutoka na wengi wao kuwa na mapenzi ya pesa na kuumizana tu, yeye anaogopa kuumizwa.........


Aliendelea kwa kusema kuwa wasanii wengi wa Bongo, hawana mapenzi ya kweli, bali wanaangalia maslahi zaidi.

Pia anaogopa kuwa katika mahusiano na baadhi ya wasanii hao, ili kujiepusha na mambo yatakayoyumbisha maisha yake.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment