Kwa mujibu wa chanzo cha karibu na kampuni hiyo
kimefunguka na kuliambia Gazeti la New York Daily News, kuwa waandaaji hao wamekodi waigizaji wanne wenye umbo kama
la Paul Walker, kasha watatumia tekonolojia ya Computer Generated Imagery, CGI,
kuwezesha kufanya kazi hiyo.
Kwa kutumia teknolojia hiyo, inaweza kutengeneza sauti
za Paul Walker na taswira yake kwa kutumia waigizaji hao wanaofanana nae umbo.
“Paul’s face and voice will be used on top using CGI.
0 maoni:
Post a Comment