Polisi nchini Misri wanaripotiwa kuwarushia vitoa
machozi waandamanji wanaliunga mkono kundi lililopigwa marufuku la Musllim
Brotherhood................
Vyombo vya habari vya serikali vilisema kuwa
waandamanaji waliokuwa wakilishutumu jeshi walikusanyika kusini mwa mji wa Cairo baada ya maombi ya
siku ya Ijumaa.
Walinda usalama zaidi wamepelekwa mjini Cairo baada ya wito
kutoka kwa kundi la Muslim Brotherhod kwa wafuasi wake wa kuwataka kufanya
maandano ya kupinga uamuzi wa aliyekuwa mkuu wa majeshi Abdel Fattta al- sisi
kuwania urais nchini Misri.
Misri imekumbwa na manadamno na ghasia tangu
kuondolewa madarakani kwa rais Mohammed Mosri mwaka mmoja uliopita.
Chanzo BBC
0 maoni:
Post a Comment