MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

TALIBAN YASHAMBULIA KABUL



 
Wanamgambo nchini Afghanitan wameshambulia jumba moja la kukodi lililo karibu na majengo ya bunge kwenye mji mkuu Kabul ............


Mwandishi wa BBC mjini Kabul anasema kuwa baada ya mlipuko mkubwa kusika mapigano yalifuata.

Jumba hilo lilitumiwa na wageni kutoka mataifa ya kigeni lakini mkuu wa polisi alisema kuwa hakukuwa na wageni wakati wa tukio hilo.

Kundi la Taliban limesema ndilo lilioendesha shambulizi hilo llikiwa moja ya mashambulizi kadha ambayo yameshuhudiwa wiki hii.

Kundi la Taliban limeapa kuwa litavuruga uchaguzi wa urais ambao utaandaliwa mwezi ujao nchini Afghanistan.
Kutoka BBC
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment