Rais wa Bayern Munich, Uli Hoeness, amehukumiwa mia
Mitatu na miezi sita Jela kwa kosa la kukwepa kulipa Kodi..........
Kifungo alichopatiwa ni ahueni kwake kwani alitakiwa
kwenda jela kwa muda wa miaka mitano, kwa kosa hilo rais huyo anapoteza sifa za kuwa raisi
wa Timu hiyo kwa kipindi chote hicho.
0 maoni:
Post a Comment