Wizara ya mambo ya ndani ya Saudi Arabia imepiga
marufuku majina 50 ambayo yapo kinyume na tamaduni pamoja na dini ambapo
kuanzia sasa, wazazi kutoka falme hiyo hawataruhusiwa tena kuwapa watoto wao
maji hayo……….
Majina hayo ni “Linda,
Alice, Elaine
au Binyamin (jina lenye maana Benjamin) ambapo jina la Benjamin (Binyamin) kwa
dini ya kiislamu linaaminika kuwa jina la mtoto wa mtume Jacob, yaani Yacoub
kwa dini.
Kuna majina ambayo yanakinzana na Mangu sambamba na
Dini, pia hayapo ata katika tamaduni zao, majina hayo ni yale yenye vyeo
vikubwa kama vile Sumuw (mtukufu), Malek
(mfalme) na Malika (Malkia).
Mengine ni Loland, Tilaj, Barrah, Abdul Nabi, Abdul Rasool, Sumuw (highness), Al Mamlaka (the kingdom), Malika (queen), Mamlaka (kingdom), Tabarak (blessed), Nardeen, Sandy, Rama (Hindu god), Maline, Elaine, Inar, Maliktina ,Maya.
0 maoni:
Post a Comment