Msaniimwa hapa nyumbani Ommy Dimpoz, yupo nchini
Uingereza, huko amekwenda kufanya Video yake mpya ambayo itaongozwa na yule
Dir- aliyewai kufanya kazi na wasanii wakubwa kama vile Fuse ODG, Davido na
Wizkid, sasa ni Ommy Dimpoz.......................
Katika Video hiyo kuna vipande ambavyo vinamuonesha
akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi wa nchini Uingereza, hii ni yakwanza
kufanyika kwa wasanii wa Tz.
0 maoni:
Post a Comment