Drake na Rihanna, wapo pamoja, Tunajua, Unajua, pia
wao wanajua, hapo mwanzo siku kadha hivi kulitokea misunderstanding kati yao,
lakini sasa hivi wanaonekana wakiwa pamoja................
Walionekana wakipeana salamu kwa kukumbatiana tena kwa
bashasha zito, wakati wakitazama michezo, lakini baada ya salamu kila mmoja
alichukua siti yake.
Pia
inaonekana kuwa hawakutaka kupeana kiss mbele za watu, lakini mtandao wa TMZ,
walimaliza story kwa kusema “Either way it's pretty ironic ...
acting cool at the game, but earlier
grinding
on stage in front of 17,000 people.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment