Zikiwa zimebaki siku chache tu ili Tuzo za MTV Africa
Music Awards kufanyika, kumepatikana kwa nafasi ya msanii na mshiriki wa Tuzo
hizo kutoka nchini Tz, Diamond Platnumz, ametajwa kuwa kati ya wasanii watako
Perform Live Katika Jukwaa la Tuzo hizo...........
Diamond yeye katika tuzo hizo anashiriki katika vinag’anyilo
“Best Male” na Best Collabo” katika nafasi hiyo kuna baadhi ya wasanii kama vile Davido, Flavour, Tiwa Savage, Mafikizolo, Uhuru
na Okido.
0 maoni:
Post a Comment