Dr Dre - Hip Hop's first Billionaire ( Celebrates With Tyrese ).. .. . [VIDEO]
Hiki ni Kitu cha kuwa mfano kwa wasanii wa Tanzania maana wao hawajui kuwekeza, ukimuuliza mtu umewekeza nini atakuambia nimenunua viwanja viwili na Gari Mpya, fungue vitu vya ubunifu vyenye tija kwa jamii yetu na nje pia..... sizani kama wasanii wa Tz, wanashindwa kufungua ata kiwanda cha kutengenezza Madaftari.....
0 maoni:
Post a Comment