MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

VIDEO YA DIAMOND ALIYOFANYIA LONDON, YAMTOA MKWANJA WA KUTOSHA, PIA COLLABO MPYA NA DAVIDO VERY SOOOON



Screen Shot 2014-05-27 at 1.31.14 AM
Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva Nchini, Diamond Platnumz, anaendelea kufanya vizuri zaidi kupitia sanaa ya muziki, kitu kingine ni kwamba ile Collabo yake na Iyanya Ameifanyia Bonge La Video, ambalo limegharimu mkwanja mwingi sana........

 Screen Shot 2014-05-29 at 2.28.04 AM
Meneja wake alifunguka kama ifutavyo ‘‘video tuliyofanya na Iyanya Uingereza ni kwa sababu tulikua tunamuhitaji Director MoE Musa ambae anaishi na kufanya kazi zake Uingereza ndio maana tukasafiri mpaka huko, kuna video ambayo tutafanya Nigeria tukishatoka Ghana na pia ikitokea kwamba tunatakiwa kufanya video Tanzania tutafanya hivyo’
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment