Mtoto mmoja nchini Marekani ambaye alidhaniwa kuwa mtu wa kwanza nchini
humo kutibiwa virusi vya HIV akiwa mtoto, amepatikana tena kuwa na virusi
hivyo..........
Mtoto huyo amekuwa bila ya virusi kwa zaidi ya miaka miwili baada ya kupata matibabu maalum akingali mtoto mdogo.
Kisa chake kiliibua matumaini makubwa ya tiba ya ugonjwa wa ukimwi. Madaktari wanasema kuwa kuibuka tena kwa virusi hivyo kumewasikitisha sana madaktari.
0 maoni:
Post a Comment