NCHINI Marekani katika jimbo la Washington, bangi
imehalalishwa kama ni moja ya kiburudisho kwa watu wa jimbo hilo...........
Washington ni jimbo la pili nchini Marekani
kuhalalisha Bangi baada ya Colorado ambako
jimbo hilo
linajipatia mamilioni ya dola kila mwezi kwa ushuru unaokusanywa kwa biashara
za Bangi kwa wanaoitumia kujiburudisha.
0 maoni:
Post a Comment