KIKOSI Cha Timu Ya Taifa ya Ugerumani imetinga Fainali
kwa Kuichapa Vikali Kikosi cha Brazil
bao 7 -1, ni moja kati ya Vichapo vikali
zilivyowafanya wapenzi wa soka nchini Brazil, kumwagika machuzi uwanji
hapo...............
Ugerumani imeingia fainali ikiwa ni mara yake ya 8
katika kombe hilo la Dunia, na magoli yote yalifungwa kwa kupitia wachezaji
hawa Magoli ya Ujerumani yalifungwa na Muller, Toni Kroos mawili, Sami Khedira,
Ander Schurrle nae akafunga mawili huku Oscar akiifungia Brazil goli moja la
kufutia machozi katika mechi iliyoishwa kwa ushindi wa 7-1.
Ujerumani sasa anamsubiri mshindi wa kati ya Argentina vs
Uholanzi ili kupata kujua mpinzani wake
wa fainali itakayopigwa jumapili hii.
0 maoni:
Post a Comment