MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

DIAMOND PLATNUMZ, ANYAKUA TUZO YA AFRIMMA, SOMA ALICHOKISEMA"



 Screen Shot 2014-07-27 at 9.43.50 AM
Hizi ni zile nafasi ambazo zilikuwa zikigombaniwa na wasanii mbali mbali Kolabo bora ni tuzo iliyokua inawaniwa na single ya T Pain na 2 Face – rainbow, Khona ya Uhuru na Mafikizolo wa South Africa, Surulere remix ya Dr Sid wa Nigeria, ........


Mkenya Amani ft. Waganda Radio na Weasel ‘kiboko changu’ J Martins ft. Dj Arafat ‘touching body’ na Rebees na Wizkid ‘slow down’
 Screen Shot 2014-07-27 at 8.17.01 AM
Tuzo ya msanii bora wa kiume Afrika Mashariki aliyoishinda Diamond ilikua inawaniwa pia na Ben Pol kutoka Tanzania, Bebe Cool wa Uganda, Wyre wa Kenya, Navio wa Uganda na Jackie Gosee wa Ethiopia.
baada ya kupokea tuzo hiyo Diamond platnumz, alifunguka haya "
First of all napenda nimshkuru sana Mwenyez mungu, Mama, Family, My management, kipenzi changu, Media, bila kuwasahau nyinyi mashabiki zangu pendwa kwani sikuzote mmekuwa mkinisupport bega kwa bega kwenye shida na raha...Niwashkuru pia Wasanii wenzangu toka nje na ndani ya Tanzania kwani naamini changamoto tunazopeana ndio zimefanya hadi sasa mziki wetu ufikie hapa...hakika tunzo hizi si zangu bali ni za Muziki wa Bongo flavour... Mwisho kabisa nimshkuru Mh Rais Jakaya Mrisho kikwete kwa mchango wake wa kila siku katika sanaa yetu!... Mr President your Son Did it!!!!! #MdogMdogo"
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment