MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

WADAU WA BOKO HARAM 14, WAPELEKWA JELA NCHINI CAMEROON.



 
Serikali ya Cameroon imewapeleka jela wanachama 14 wa kundi la Boko Haram na kuwapa kifungo cha kati ya miaka 10 hadi 20.................


Washtakiwa hao walihukumiwa na jopo la kijeshi katika mji wa kazkazini wa 
 Maroua,karibu na mpaka wa Nigeria kwa mashtaka ya kumiliki silaha na kupanga njama za kutekeleza uasi.

Idadi kubwa ya washukiwa wa kundi la Boko Haram imekamatwa kazkazini mwa Cameroon katika majuma ya hivi karibuni kufuatia mashambulizi katika vituo vya polisi na mauaji.

Siku ya jumatano ,Nigeria,Niger,Chad na Cameroon zilikubaliana kubuni jeshi la umoja ili kukabiliana na tishio kubwa linalosababishwa na Boko Haram.



Kutoka BBC

Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment