MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

ALIYEKUWA MGONJWA WA EBOLA, AFARIKI DUNIA.


Mwathiriwa wa Ebola Saudato Koroma kushoto
Maafisa wa afya nchini Sierra leone wamethibitisha kwamba mgonjwa mmoja wa Ebola aliyetoroka hospitalini katika mji mkuu wa Freetown amefariki baada ya kurudi hospitalini..............

Mwanamke huyo kwa jina Saudato Koroma ndio mtu wa kwanza kupatikana na ugonjwa huo mjini humo.

Alijiwasilisha hospitalini humo baada ya serikali kuwataka raia kupitia tangazo la redio kusaidia kumsaka.

Alifariki Wakati alipokuwa akisafirishwa na wazazi wake mashariki mwa Sierra Leone ambapo vituo vya kuwauguza wagonjwa wa Ebola vimejengwa.

Ugonjwa huo umewaua zaidi watu 660 Magharbi mwa Afrika mwaka huu.
Kutoka BBC

Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment