MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

OMMY FLANI ft KHADIJA KOPA, NI BONGE LA SHIDA HAPA TOWN


Kwa wale wapenzi wa mambo ya mduara, kaeni tayari kwa ujio mpya wa msanii mkali kabisa katika mabo hayo na simwengine bali ni Ommy Flani Ft Khadija Kopa, na wimbo wake huo mpya unakwenda kwa jina la “Mshambenga”.............


Wimbo huo umefanyika katika moja ya studio kali kabisa hapa Tz, G Records chini ya KGT, na vinanda vya ngoma hiyo vimepigwa na Shadid, yani ni shidaaaaaaa.

Kwa mara ya kwanza utaupata kupitia hapa…

Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment