TYGA, AMEITOSA ZIARA YA WIZ KHALIFA
Rapper Tyga aliyekuwa anategemewa kumsindikiza Wiz Khalifa kwenye ziara yake ya ‘Under The Influence Of Music’ ametangaza kuitosa ziara hiyo kupitia Twitter..........
Hapo jana, Wiz Khalifa aliwataarifu mashabiki wake uamuzi wa Tyga na kuwaomba radhi kwa maneno mafupi.
“Tyga dropped off the tour. Sorry ya’ll.” Wiz Khalifa alitweet.
Nae Tyga alitoa sababu za uamuzi wake baada ya Wiz kotoa taarifa hiyo ambapo amedai atakuwa busy akishughulikia albam yake mpya na filamu yake.
0 maoni:
Post a Comment