
Mwisho
Mwampamba ni Baba kwa mara nyingine tena na yule aliyekuwa mshiriki mwezake BBA,
Mery wa nchini Namibia Wamejipatia mtoto wa pili.....................
Mwisho
ambaye kwa sasa ni mtangazaji wa kipindi cha Tv, moja hapa nchini alifunga ndoa
na Mery mnamo mwaka 2011, na kupata mtoto wao wa kwanza wa kike mwaka 2012.
Wawili
hao kila mmoja alimkuta mwenzie akiwa na mtoto tayari na kupelekea wapendanao
hao kuwa na idadi ya watoto wane.
Majina
ya watoto wao wawili yanashangaza watu kwa kuwa ya kipekee kabisa, yani mmoja
anaitwa “Monkey” na mwengine anaitwa Happy Feet”.
0 maoni:
Post a Comment