MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

SCOTLAND KUBAKI AU KUJITENGA...



 
Upigaji kura ya maoni unakaribia kuanza Scotland kwa raia wa nchi hiyo kuamua kujitenga au kubaki kwenye himaya ya Uingereza.......................


Hiyo ni kura ya maoni ya kihistoria kwa nchi hiyo aliyokuwa kwenye muungano wa Uingereza takriban miaka 300 iliyopita.

Kiongozi wa Scotish National Party, Alex Salmond, ametaja kampeni ya kuitisha Uhuru wa Scotland kutoka kwa Uingereza kama tukio muhimu zaidi la kidemokrasia kuwahi kutendeka nchini humo, na ambalo amesema tayari limebadilisha mfumo wa maisha eneo la Scotland.
 
Idadi kubwa ya wapiga kura wamesajiliwa na kwa mara ya kwanza vijana wenye umri wa miaka 16 na 17 wataruhusiwa kupiga kura.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment