Waokoaji
wamekuwa wakipambana na upepo mkali pamoja na mawimbi ya bahari gizani kuwakoa
karibu abiria 300 ambao wamekwama ndani ya ferry moja ya Italia iliyokuwa
imeshika moto kwenye bahari ya Adriatic.................
Maofisa
nchini Italia wanasema kuwa oparesheni ya uokoaji itandelea.Hadi sasa watu 190
wamekolewa kutoka kwa ferry hiyo.
0 maoni:
Post a Comment