Shughuli
ya kutafuta ndege ya AirAsia ambayo ilipotea jana Jumapili imeendelea leo tena
baada ya kusitishwa kwa muda..............
Watu
162 walikuwa kwenye ndege hiyo wakati ikipoteza mawasiliano na kituo cha
kuelekeza safari za ndege. Ndege hiyo ilikuwa safarini kwenda nchini Singapore
ikitokea mji wa Surubaya nchini Indonesia. Shughuli za kuitafua zinafanyika
kwenye kisiwa cha Belitung.
Ndege
za kijeshi kutoka indonesia na singapore zilikuwa zikiisaka ndege hiyo kusini
magharibi mwa pwani ya Borneo ambapo ndege hiyo ilitoweka.
kutoka BBC
0 maoni:
Post a Comment