Kupitia
ukurasa wake wa Instagram, Diamond Platnumz, alifunguka na kusema mengi na
kutoa thanks kwa wadau pamoja na media nyinyi, soma hapa alichokisema……………..
"diamondplatnumz"
2 hours ago
"Shukran sana kwa Media zote, wadau na Mashabiki kwa support na Nguvu
mnayozidi kunipa... 1 Million + Vews ndani ya Wiki mbili.... Nawashkuru sana!..
Shukran nyingi pia zikufkie bwana @i_am_godfather kwa Chupa hili...👌
( I jus want to say thanks to @i_am_godfather , all the Media, Teams
and my Fans for the love and Support that you been giving me...1 Million + vews
within two weeks!....Awesome! Words can not explain my Appreciation to you...!)
you can click the Link on my BIO to watch the Video now!! #Ntampata_Wapi"
0 maoni:
Post a Comment