Baada
ya Chris Brown, kumwagana na mpenzi wake Karrueche, na kufuatia majibizano
makubwa kupitia media mbali mbali, CB, ameamua kumradhi kufuatia kitendo hicho................
CB,
aliandika kupitia Insta, na kusema kuwa Social Media haikuwa sehemu sahii ya
majibizano yao, na kusisitiza kuwa mambo ya mapenzi yao yalitakiwa kuwa binafsi
zaidi na si kwa kujibizana kwenye mitandao.
0 maoni:
Post a Comment