Diamond platnumz,
kupitia ukurasa wake wa twitter, alifunguka na kusema kuwa “ Nyimbo na Videos
ninazoenda kuziachia mwaka huu, zitabaki kuwa ni Historian a kubaki kumbukumbu
hadi siku nitakapozikwa.
Kutoka na taarifa hii
kutoka kwa msanii huyo kiboko yao nchini Tanzania na East Afrika
aliyejichukulia tuzo kibao, basin i ishara kuwa mzigo upo on the way.
- Tweets
- Tweets & replies
- Photos & videos
0 maoni:
Post a Comment