Msanii wa muziki wa
kizazi kipya, mwenye watoto wane si mengine bali ni Dully Sykes, alifunguka na
kusema kuwa akipata mke mwema ataoa lakini kwa sasa bado.
Aliyasema haya kupitia
moja ya kipindi cha Radio “ sijapata Mke, unajua mke si girlfriend Material na
kuna Wife Material, sijali Mungu hajaniletea mke na ukifa bila mke siyo dhambi
kwa sababu hajakultea,alitaka ufe bila mke,
Hayo yalikuwa ni maneno
ya msanii huyo mkongwe katika Muziki wa Bongo
Fleva, hapa nyumbani TZ255.
0 maoni:
Post a Comment