Mchezaji wa zamani wa
timu ya taifa ya New Zealand ya mchezo wa raga Johan Lomu amefariki dunia.
Mchezaji huyu amefariki
akiwa na umri wa miaka 40 huku akisumbuliwa na ugonjwa wa figo.
Lomu alifanyiwa
uabadilishwaji wa figo yake mwaka 2004 ambayo ilikua ikimsumbua na iliyopelekea
kustaafu kucheza mchezo wa raga.
Lomu enzi za uhai wake
alichezea timu ya taifa michezo 73 kuanzia mwaka 1994 mpaka 2002 na kufunga
mabao 43.
kutoka BBCSwahili
0 maoni:
Post a Comment