Yule mshindi wa
Shindano la AirTel, Mayunga amefunguka jisi gani kazi yake ilivyofanyika ndani
ya saa 24, yani siku moja tu.
“Nilikuwa nina siku
moja tu yakushika kila kitu kwenye wimbo niliopewa, kwahiyo ilinibidi nijitume
ili niufahamu vizuri wimbo ili nifanye kitu kizuri ata bwana Akon afurahi na
mshukulu mungu alifurahi sana."
Aliendelea kwa kusema
baada ya AUDIO kukamilika siku hiyo hiyo walifanya Video ya wimbo huo kikubwa
zaidi ni Yule Video Queen aliyefanya naye ni Modle aliyewahi kufanya kazi na
Video za Chriss Brown.
0 maoni:
Post a Comment