Kumekuwa na gumzo
mitandaoniu mara baada ya msanii wa Naija, Tekno wa Duro, alipoPost picha yake
akiwa na msanii wa filam wa Tanzania, LULU.
Watu mbali mbali walianza
kushusha maneno ya R.I.P, kufuatia picha yake hiyo, haya ndio maneno ya Tekno
kwa wote waliopost R.I.P.
“Kanza kabisa namsamehe kila moja wenu
aliyecomment R.I.P, kwenye ukurasa wangu.
Kwa familia yangu, marafiki zangu,bloggers na wote mliopiga na
kuniuliza juu ya comment za R.I.P, zinamaanisha nini, kuna wanaosema kuwa
nimetenda kosa la jinai nilipokuwa Tanzania ! Lol.
Nilichokifanya mimi ni kupiga picha na msichana mrembo wa Tanzania
simtaji jina lake. Kilichotokea ni kwamba wanaume wachache aliowahi kuwa naye
walifariki , kama wanavyosema !
Kwahiyo hawa watu wanacomment R.I.P, wanaamini kuwa nina uhusiano
naye kwasababu ya picha niliyopost instagram ya mimi na yeye hivyo wanasema na
mimi nitakufa , wow ! inafurahisha.
Kwanza nyie ni nani kuhukumu maisha yake.
Pili nyie ni nani kukomment R.I.P kwenye ukurasa wangu.
Mungu tusamehe na utuangalie wote. Sasa mmefahamu.
0 maoni:
Post a Comment