Je Simu yako inasumbua
Chaji, basi hili ndio jibu la tatizo lako.. kwenye kila smartphone basi lazima
kuwe na Apps nyingi lakini kuna App moja inayokula Chaji zaidi na ukiitoa tu
lazima muda wa kuishi na chaji simu yako kuongezeka.
App hiyo si nyingine
bali ni ya Facebook, hii ndio App inayokula chaji kuliko zote na kuifanya simu
yako kuwa nzito na punde unapoifuta basi simu huwa nyepesi na kutunza chaji kwa
muda zaidi.
Hivyo ni bora kutumia browser
kama vile Chrome nk, ili kutumia Facebook.
0 maoni:
Post a Comment