BAD NEWZ,
Msanii wa Music Nchini
John Woka amepata ajali ya kulipukiwa na mtungi wa Gesi wakati wakiangaikia
kurekebisha gereji maeneo ya Sinza.
Inadaiwa kuwa mtungi wa
gesi ulivulipuka kipande cha mtungi huo wa chuma kilimrukia kichwani na kuzama,
madaktari wamesema kuwa damu nyingi zimevujia ndani ya Ubongo.
Msanii huyo yuko katika
wodi za wangonjwa maututi “ICU”
0 maoni:
Post a Comment